Pole sana mamii.Habari za mida, natumaini wote mpo sawa mnaendelea vzr na majukumu ya ujenzi wa nchi.
Ndugu zangu juzi nimepata bahati mbaya ya kufiwa na mwanangu niliemzaa akiwa na miezi 6 tu. Naumia sana niliitafuta hii mimba kwa miaka miwili lakini namuachia Mungu na namshkuru kwa yote [emoji1317].
Naombeni kueleweshwa kwa mwenye uelewa sababu zinazosababisha hiyo hali ya kuzaa mtoto premature kwa muda huo wa miezi sita. Mimi binafsi sikusumbuliwa na chchte au dalili yyte ya kushitusha, nilianza kuumwa na kiuno kwa kama masaa mawili tu na wakati nafikishwa hospitali chupa ya maji ya mtoto ikawa imepasuka na nilivyofika leba sikuchukua muda njia kufunguka sikuwekwa vidonge wala maji ya uchungu na nilijifungua mtoto akiwa hai lakini alikaa kama dakika chache akafariki. Naombeni mnisaidie knowledge juu ya hili najiskia mpweke natamani nikikaa miezi mitatu nipate ujauzito mwengine lakini nijue tu nini kilisababisha next time niweze kuwa makini zaidi na Mungu ajaalie nipate angalau mtoto wa kunifuta machozi.
Kulingana na majibu yenu nitajaribu kuangalia na ku relate na mambo niliokua nafanya nijue kama miongoni mwa hizo kuna sababu zilizosababisha asanteni
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unhitaji kuonwa na daktari wa magonjwa ya kinamama kwa uchunguzi zaidi.Habari za mida, natumaini wote mpo sawa mnaendelea vzr na majukumu ya ujenzi wa nchi.
Ndugu zangu juzi nimepata bahati mbaya ya kufiwa na mwanangu niliemzaa akiwa na miezi 6 tu. Naumia sana niliitafuta hii mimba kwa miaka miwili lakini namuachia Mungu na namshkuru kwa yote [emoji1317].
Naombeni kueleweshwa kwa mwenye uelewa sababu zinazosababisha hiyo hali ya kuzaa mtoto premature kwa muda huo wa miezi sita. Mimi binafsi sikusumbuliwa na chchte au dalili yyte ya kushitusha, nilianza kuumwa na kiuno kwa kama masaa mawili tu na wakati nafikishwa hospitali chupa ya maji ya mtoto ikawa imepasuka na nilivyofika leba sikuchukua muda njia kufunguka sikuwekwa vidonge wala maji ya uchungu na nilijifungua mtoto akiwa hai lakini alikaa kama dakika chache akafariki. Naombeni mnisaidie knowledge juu ya hili najiskia mpweke natamani nikikaa miezi mitatu nipate ujauzito mwengine lakini nijue tu nini kilisababisha next time niweze kuwa makini zaidi na Mungu ajaalie nipate angalau mtoto wa kunifuta machozi.
Kulingana na majibu yenu nitajaribu kuangalia na ku relate na mambo niliokua nafanya nijue kama miongoni mwa hizo kuna sababu zilizosababisha asanteni
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pole sana, haukujaribu kuuliza hapo hospital ulipojifungulia?. Ndio watu pekee wangeweza kujua ni kipi kilipelekea hiyo hali kwani ndio waliokupokea na kukuzalisha.
Unhitaji kuonwa na daktari wa magonjwa ya kinamama kwa uchunguzi zaidi.
Sababu zipo nyingi, kutokana na maelezo uliyotoa ingawa bado kuna vitu sivijui kuhusiana na wewe, kuna uwezekano kiwango kikubwa kuwa ni Cervical incomptence.
Tiba yake ni wakati wa uja uzito kuna dawa unaweza pewa na daktari wako hasa pale mwanzoni, baada ya wiki 15 hadi 17 utafanyiwa ultarasound, kama mimba iko vizuri utashonwa kizazi (cerclage) kuzuia mtoto asishuke na kuanzisha uchungu. Baada ya hapo utaendelea na bed rest , ukikaribia kujifungua , huo uzi utatolewa.
Angalau mimba ikifika wiki 28 , kuna nafasi ya mtoto kuishi (asilimia kama 50 kwa mazingira ya Tz), kama atazaliwa akiwa hana shida na hospitali ikawa ina uwezo wa kutunza watoto njiti.
50% ya mimba zinazoharibika sababu huwa haijulikani na haiwezi kujulikana (unknown cause)Habari za mida, natumaini wote mpo sawa mnaendelea vzr na majukumu ya ujenzi wa nchi.
Ndugu zangu juzi nimepata bahati mbaya ya kufiwa na mwanangu niliemzaa akiwa na miezi 6 tu. Naumia sana niliitafuta hii mimba kwa miaka miwili lakini namuachia Mungu na namshkuru kwa yote [emoji1317].
Naombeni kueleweshwa kwa mwenye uelewa sababu zinazosababisha hiyo hali ya kuzaa mtoto premature kwa muda huo wa miezi sita. Mimi binafsi sikusumbuliwa na chchte au dalili yyte ya kushitusha, nilianza kuumwa na kiuno kwa kama masaa mawili tu na wakati nafikishwa hospitali chupa ya maji ya mtoto ikawa imepasuka na nilivyofika leba sikuchukua muda njia kufunguka sikuwekwa vidonge wala maji ya uchungu na nilijifungua mtoto akiwa hai lakini alikaa kama dakika chache akafariki. Naombeni mnisaidie knowledge juu ya hili najiskia mpweke natamani nikikaa miezi mitatu nipate ujauzito mwengine lakini nijue tu nini kilisababisha next time niweze kuwa makini zaidi na Mungu ajaalie nipate angalau mtoto wa kunifuta machozi.
Kulingana na majibu yenu nitajaribu kuangalia na ku relate na mambo niliokua nafanya nijue kama miongoni mwa hizo kuna sababu zilizosababisha asanteni
Sent from my iPhone using JamiiForums
50% ya mimba zinazoharibika sababu huwa haijulikani na haiwezi kujulikana (unknown cause)
Sababu zingine kwa umri huo wa ujauzito ni kama cervical incompetence (shingo ya kizazi kushindwa kuhimili mimba kadri ilivyokuwa), mama kuwa na fibroids, au nyumba ya uzazi kuwa na abnormalities zozote (septate, bicornuate)
Sababu nyingine ni pressure kuwa juu, kisukari, na matatizo ya mfumo wa homoni
Sababu ziko nyingi sana na nyingine sijazitaja hapo cha kufanya uende kwa gynacologist ufanye vipimo kujua chanzo huku ukijua kuna uwezekano wa 50% wa kutokujua chanzo
One last thing, miezi mitatu haitoshi. Inabidi ungoje si chini ya miezi sita tangu mimba ilivyoharibika ndio upate nyingine otherwise unajiweka katika hatari ya kupoteza na hii vile vile