Habari zenu mabibi na mabwana!
Mwenzangu alijifungua kwa njia ya operation, sasa kwenye stori za hapa na pale juu ya kuongeza watoto wengine, amekuja na hoja kwamba ukijifungua kwa operation na ukashika mimba kabla ya miaka mitatu basi lazima utajifungua tena kwa operation, ili ajifungue kawaida ni lazima ipite miaka mitatu ili kidonda kipone, je kwa wataalamu wa haya mambo kuna ukweli juu ya hili?
Ahsanteni.
Kwa aliejifungua kwa operation (c/s) mimba zooote zinazofuata atajifungua kwa C/S tu hakuna option katika hilo indication ya C/S ni previous scar bila kujali muda gani umepita baada ya kujifungua hata ipite miaka 10
Mimi ni muuguzi na mkunga.
Kwa aliejifungua kwa operation (c/s) mimba zooote zinazofuata atajifungua kwa C/S tu hakuna option katika hilo indication ya C/S ni previous scar bila kujali muda gani umepita baada ya kujifungua hata ipite miaka 10
Mimi ni muuguzi na mkunga.
ShukranMkunga naomba nipinge hoja yako kwa nguvu kubwa na naomba urejee kozi yako ya midwife na kusoma tena kitabu chetu kikongwe cha Mama Magreth Myles " Myles book for Midwives"
Iwapo mama atajifungua kwa operation na muda ukapita walau 2.5- 3 yrs na kovu limepona , anaweza kujifungua kawaida iwapo sababu iliyopelekea kufanyiwa CS haijajirudia . Tumehudumumia wengi wa hivi na wapo salama. Unless unaongelea kuwa alikuwa na multiple CS scars.
Kwa mfano kama sababu ni mtoto mkubwa hii inaweza isijirudie , au mtoto alikaa vibaya (breech presentation) hii inaweza isijirudie .
Ila iwapo sababu ni ya kudumu mfano nyonga ndogo, mama ana vihatarishi kama hypertension nk basi huyu ataendelea kuwa mteja wa CS.
Turudi kwa mleta hoja: Penda kujua mkeo amefanyiwa operation kwa sababu gani, nenda naye kituo cha afya usikilize ushauri wa daktari na pia fanya research ya kutosha kupitia mitandao na vitabu. Then make an informed decision.
Wapo wawili ninaowajua, walijifungua kwa operation mimba zinazofuata wakajifungua kwa njia ya kawaida. hoja yako haina ukweliKwa aliejifungua kwa operation (c/s) mimba zooote zinazofuata atajifungua kwa C/S tu hakuna option katika hilo indication ya C/S ni previous scar bila kujali muda gani umepita baada ya kujifungua hata ipite miaka 10
Mimi ni muuguzi na mkunga.
Kwa aliejifungua kwa operation (c/s) mimba zooote zinazofuata atajifungua kwa C/S tu hakuna option katika hilo indication ya C/S ni previous scar bila kujali muda gani umepita baada ya kujifungua hata ipite miaka 10
Mimi ni muuguzi na mkunga.
Muuguzi gani wewe unayedanganya watu? Hujui kuna trial for scar? Watu kibaaao wanajifungua kwa SVD baada ya LSCS.Kwa aliejifungua kwa operation (c/s) mimba zooote zinazofuata atajifungua kwa C/S tu hakuna option katika hilo indication ya C/S ni previous scar bila kujali muda gani umepita baada ya kujifungua hata ipite miaka 10
Mimi ni muuguzi na mkunga.
Mara nyingi Wauguzi wakimya uficha utumbavu wao!!!!!Kwa aliejifungua kwa operation (c/s) mimba zooote zinazofuata atajifungua kwa C/S tu hakuna option katika hilo indication ya C/S ni previous scar bila kujali muda gani umepita baada ya kujifungua hata ipite miaka 10
Mimi ni muuguzi na mkunga.