Kujichubua mwili

LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,312
6,638
Kuna mijanamke imejichubua miili kama nguruwe aliyetoka kutolewa nywele na maji ya moto,mna nini nyie wanawake mnaojiharibu asili yenu?nani kawadanganya kuwa tunawapenda mlivyoungua na kukomaa ngozi kwa kemikali?mbona majirani zetu Kenya na Uganda hawana huo ulimbukeni?
binafsi napinga na kuwachukia wanawake wanaojichubua...ni umasikini sana wa fikra kuharibu asili yako kisa umnase tu/danga!
endeleeni kuwaibia walevi..
 
Kuna viongozi wanawake wana ma vyeo makubwa+elimu ya kutosha tu huko serikalini lkn wanajichubua.,sijui shida ni nini.
 
Kuna mijanamke imejichubua miili kama nguruwe aliyetoka kutolewa nywele na maji ya moto,mna nini nyie wanawake mnaojiharibu asili yenu?nani kawadanganya kuwa tunawapenda mlivyoungua na kukomaa ngozi kwa kemikali?mbona majirani zetu Kenya na Uganda hawana huo ulimbukeni?
binafsi napinga na kuwachukia wanawake wanaojichubua...ni umasikini sana wa fikra kuharibu asili yako kisa umnase tu/danga!
endeleeni kuwaibia walevi..
Una uhakika wakenya na Waganda hawajichubui?
Unajidanganya
 
Sisi wanaume ndo chanzo cha wanawake kujichubua .Ukitafakari vyema utanielewa .Usipaniki wala usikurupuke kunijibu tafakari kwa kina kwanza
 
Kuna mijanamke imejichubua miili kama nguruwe aliyetoka kutolewa nywele na maji ya moto,mna nini nyie wanawake mnaojiharibu asili yenu?nani kawadanganya kuwa tunawapenda mlivyoungua na kukomaa ngozi kwa kemikali?mbona majirani zetu Kenya na Uganda hawana huo ulimbukeni?
binafsi napinga na kuwachukia wanawake wanaojichubua...ni umasikini sana wa fikra kuharibu asili yako kisa umnase tu/danga!
endeleeni kuwaibia walevi..
Acha kufatilia maisha ya wanawake
 
IMG_20190120_144547.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom