Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,737
BROO KABLA YA KUOAWakuu mambo vipi
Naomba kufahamishwa, mambo ni ya msingi sana kwa kijana wa kiume kujiandaa, kabla hajaingia kwende maisha ya ndoa..
Maana nina plan za kuoa mwakani, kwahyo nijiandae na vitu gani, atleast msoto wa ndoa usiwe mkali sana,
Ni hayo tu.
Karibuni wajuzi wa mambo.
Shida si maandalizi ya kimaisha.
Shida ni kumpata wa kufanana na wewe.
Kosea vitu vyooote maishani lakinini usikosee kuoa, maana balaa lake sikia kwa mtu!
Kabla ya kuoa hakikisha unafukuza bodaboda wote hapo maeneo unayoishi.
Maendeleo hayana chama
Uwe umejenga au uwe na uhakika wa kulipa kodi nyumba kama hujajenga.
Oa mwanamke unayeendana naye mambo mengi na hana makuu na mwenye kuvumilia changamoto inapotokea.
Uwe na kipato au mtafutaji na uwezo wa kulisha familia utakapooa.
Uweze kubadilika kama una kampani ya marafiki wa kwenye pombe na kupoteza mda,usela usio na maana na familia uiweke kipaombele
Sent using Jamii Forums mobile app
BROO KABLA YA KUOA
1.KITU CHA KWANZA CHUNGUZA TABIA ZA MAMA MKWE ILI UJUE NI MTU WA AINA GANI MAANA KAMA MAMA MKWE NI MKOROFI BASI TEGEMEA NDOA YAKO ITAKUWA INA MAPITO MAGUMU
2.PILI CHUNGUZA FAMILIA YA MWANAMKE UFAHAMU NI WATU WA AINA GANI
3.CHUNGUZA TABIA ZA MPENZI WAKO KABLA YA KUWA NA WEWE ALIKUWA NI MTU WA AINA GANI
4.MWISHO CHUNGUZA NDUGU WA MKEO UJUE NI WA AINA GANI
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana usiwazi vibaya.
Ngoja nikupe neno moja..la kwenda nalo.
Unatakiwa kutafuta mwanamke ambae unaona kile ambacho wew umepungukiwa yeye anakua nacho, na kile ambacho wew unacho ndio mala nyingi kwake utakuta kimepungu.
Kwahiyo mkiungana kila mmoja anaficha madhaifu ya mwinzie na hakutakua na changamoto nyingi za ndoa tena.
Kwanini upate wasi wasi???Mchumba ninae huu mwaka wa 3 sasa, tunajuana sana, na ninaona kabisa tuna share bonds ,
Wasi wasi wangu labda abadilike mbele ya safari.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwanini upate wasi wasi???
Ukiona wasi wasi jua wew ndio unashida, chukuza fikra zako.
Usilazimishe mambo kama unajua yeye sio mvumilivu.. piga chini
Unaweza kumjarbu kidogo tu, kipesa, kimawazo na kifikra ukajua mapema tu.
Lakini kata wew tayari umelewa na uasherati wa mapenz yake huwezi kuona hata kidogo.