FARU JEURI
JF-Expert Member
- Sep 4, 2015
- 377
- 299
habari zenu wana-JF..naombeni ushauri wenu nimepata two altenative kutoka kwa relative flan
1. Aniajiri kwenye kampuni yake ya mikopo?
2. Anipe mtaji nijitafutie maisha yangu mwenyewe?
so altenative gani ina bright future kama ungekuwa wewe ndugu??
Anayetaka kujiajiri ana dalili zake,wewe huna mpaka sasa.
Nakushauri uajiriwe mpaka wakati wa kujiajiri mwenyewe utakapofika,la utapoteza mtaji utakaopewa na ajira ukaikosa.