pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
kazi kweli kweli..
kazi kweli kweli..
kazi akili za pm kuleta jukwaanikivipi?
Kwa hiyo unatongoza hata usiowajua kwa sura?
Maana humu jf hatufahamiani sasa unatokea usiemjua kazi kweli kweli
Hii tabia inanisikitisha inanisononesha inaniumiza na zaidi inanihuzunisha, unakuta mtu anakufata pm mnachonga unarusha ndoano badala ya kukupa jibu huyoo anatokomea kusikojulikana baada ya siku mbili anaibuka na Hi.
we nani alikuambia kwamba Hi ni mpaka pm hau haujui nini maana pm (personal messages) huko ni sehemu ya kuongea vitu vya siri kama ni Hi we njoo huku jukwaani unipe Hi ili kila mtu aone sio pm na ukome hasa wewe mwanamke ambae unamfata mtu pm alafu utaki kukubaliana na masharti ya pm.
kazi akili za pm kuleta jukwaani
Unashindwa kuelewa hiyo Hi ina maana gani? Inawezekana kajifikiria upya anza tena kurusha zile ndoana zako!
lakini ni vyema kusema ngoja nifikirie sio kutokomea alafu anaibuka na Hi ambazo mara nyingi huwa zinakuja na kuitaji mikopo.
Angalia usije tongoza mama/dada/shangazi/bibi yako. Wote hao wamo humu JF