kuja kwa mkito.com ni kuua free downlod au.....?

kuja kwa mkito.com ni kuua free downlod au.....?

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,554
Reaction score
4,171
haha samahanini jamaa......
nimekuwa nikiingia net kupakuwa mizki ya bongo mf wimbo mpya wa mavoko umewekwa kupitia www.mkito.com ambayo unalipia baada ya kupata 10 za bure.
kwa kawaida tulizoea kule hulkshare kwenye free downld.
sasa muzic yote ikienda kwa kulipia hulkshare c ndo mwisho wake..?
 
andika vizuri mbona una andika kama unakimbizwa mkuu
 
Back
Top Bottom