Samahani mwenye uwezo wa kutuwekea hapa atusaidie wengine umeme umekatika simu yangu haifungui file la pdf
SHIRIKA LA KUHUDUMIA VIWANDA VIDOGO
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) anawaita wafuatao kuhudhuria
usaili unaotarajia kufanyika tarehe 23 Januari, 2015, kama inavyoonyeshwa kwenye jedwali hapo
chini.
Usaili utafanyika katika Ofisi za Shirika zilizopo mtaa wa mfaume, Upanga Dar Es Salaam.
Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo:
1. Kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi kama vile kadi ya mpiga kura, kitambulisho cha
kazi, hati ya kusafiria n.k
2. Kuja na vyeti vyote halisi vya elimu (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne na
kuendelea kutegemea na sifa za mwombaji.
3. Kuja na cheti halisi cha kuzaliwa.
4. Waliosoma nje ya Tanzania, wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
mamlaka husika kama TCU na NECTA.
5. Kila msailiwa atajigharamia chakula, usafiri na malazi.
6. Wale wote ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa
hawakukidhi vigezo.
KADA: DEREVA DARAJA LA IITAREHE: 23/01/2015 MUDA: 07.00 MCHANA
NO. NAME ADRESS NO. NAME ADRESS
1. Deodatus Godfrey
Mbande
P.O. Box 523
MOROGORO
2. Samson Felix
Milanzi
P.O. Box 2197,
DODOMA
3 Ally Seleman
Mpangile
P.O. Box 10,
MKURANGA
4 Joel Daudi Masaga
P.O. Box 296,
ARUSHA
5 Sadick Thabit
Ndemeke
P.O. Box 7194,
DAR ES
SALAAM
6 Emmanuel Y.
Mlowa
P.O. Box 1719,
MOSHI
7 Isack Katambi Mussa
P.O. Box ,
SENGEREMA
8 Martin Alcado Kato P.O. Box 2476
DSM
KADA: MHANDISI DARAJA LA IITAREHE: 23/01/2015 MUDA: 04.00 ASUBUHI
NO. NAME ADRESS NO. NAME ADRESS
1. Nicholous Lyuvale P.O. Box 3375,
DSM
2. Jumanne Julius
Mgonja
P.O.Box9262, DSM
3 Eliudi Keneth P.O. Box
05156, DSM
4 Mawazo A. Said P.O. Box 2958,
DSM
5 Joseph Chengula P.O.Box 212,
NJOMBE
6 Arnold S. Mato P.O. Box 733,
MARANGU
7 Jonathan Ndunguru P.O.Box 6354,
MWANZA
8 Fred Paschal
Msyani
P.O. Box 1621,
MOROGORO
9 Georgia G.
Mwaipopo
P.O.Box 4287,
MBEYA
KADA: ARTISAN DARAJA LA IITAREHE: 23/01/2015 MUDA: 07:00 MCHANA
NO. NAME ADRESS NO. NAME ADRESS
1. Kudra Said Hassan P.O. Box 507,
KIGOMA
2. Daudi J. Kibingira P.O.Box 760,
IRINGA
3 Kurwa Sudi P.O.Box 6134,
TANGA
4 Kaimu Hassan
Komba
P.O.Box 83,
MASASI
5 Mohamed Bakari Ally P.O.Box 40274,
DSM
6 Sixmund L. Mrope P.O.Box 3,
NDANDA
7 Festo Kinyaga P.O.Box 718,
MBEYA
8 Luhende Seni P.O.BOX 400
SHINYANGA
KADA: TECHNICIAN DARAJA LA II TAREHE :23/01/2015 MUDA: 07.00 MCHANA
NO. NAME ADRESS NO. NAME ADRESS
1. Evance D. Kawishe P.O. BOX
78438, DSM
2. Julius A . Venance P.O.BOX 2958
DSM
3 Clavery Ksendi, P . O . B O X 7 6
Mwanza,
4 Shida Daniel
Mwajanga
P.O.BOX 131
Mbeya
5 Mashauri Ngasale P.O.BOX 16570
DSM
6 John N. James P.O.BOX
2958DSM,
7 Fidelis Mzelela
Mengo
P.O. BOX
40410 DSM
8 Shabani Rahid
Juma
C/o Izuvba Rajabu
P.O. BOX 701
Moshi
9 Joseph Mafuta P.O. BOX 2
Rukwa
10 Benesta S.
Dyamwale
P.O. BOX 245,
MUSOMA
KADA: AFISA UFUNDI DARAJA LA IITAREHE 23/01/2015 MUDA: 04:00 ASUBUHI
NO. NAME ADRESS NO. NAME ADRESS
1. Wilfred Wambura P.O. Box 2958,
DSM
2. Abraham Mlay P.O. Box 9296,
DSM
3 Nicholous Lyuvale P.O. Box 3375,
DSM
4 Fildolin Tumbi P.O. Box 2958,
DSM
5 Eliudi Keneth P.O. Box
105156,DSM
6 Mawazo A. Said P.O.Box 2958, DSM
7 Joseph Chengula P.O. Box 212,
NJOMBE
8 Gidion Mwasanga P.O.Box 9262, DSM
9 Willybard Magohe P.O.Box9262,DSM
KADA: KATIBU MUHTASI DARAJA LA IITAREHE:23/01/2015 MUDA: 02:00 ASUBUHI
NO. NAME ADRESS NO. NAME ADRESS
1. Hasinath Haruna
Mchele,
P.O. Box 1330,
DSM
2. Saumu Amiri
Mashango
P.O. Box 34160,
DSM
3 Hadija O. Mnango, P . O . Box 0333,
DSM
4 Shakila Bakari
P.O. Box 1051
Mtwara
5 Flora Daniel Mgomo, P . O . B ox
105804, DSM
6 Betha Mkamilo P.O. Box 2113
Dodoma
7 Joyce E. Damas, P . O . Box 22500,
DSM
8 Mwaya Stephen
Chisunga
P.O. Box 9131
DSM
9 Upile Lukas Lukumbo P.O. Box 31042,
DSM
10 Stella Nestory
Iramu
P.O. Box 2329,
DSM
11 Martha Pius. Moshi P.O. Box 8566,
DSM
12 Edna Francis
Buberwa,
P.O. Box 85
MAFIA
13 Njiti Nusura Mfaeke,
P.O. Box 6306,
DSM
14 Salama Aliamini
Bakari
C/O Gulf Baor
Group
P.O.BOX 5198
DSM
15 Upendo Mapunda P.O.BOX32941
16 Theodosia
Theonest
P.O.BOX 840
DODOMA
17 Janeth Katule
P.O. Box 905,
MBEYA
18 Welu Ernest
Kaali
K.K.K. T Pugu
P.O.BOX 9090
DSM
19 Unistar K. Celestine C / O P . K A F B H I
SLP 1130
DSM
20 Hildagalda Peter
P.O. Box 9190, DSM
KADA: MENEJA WA KARAKANATAREHE:23/01/2015 MUDA: 02.00 ASUBUHI
NO. NAME ADRESS NO. NAME ADRESS
1 Nestory H.
Ngoromela
P.O. Box 760,
IRINGA
2 Ally Iddi Mtwale P.O.Box 400,
SHINYANGA
3 Raymond Silveira P.O. Box 706,
ARUSHA
KADA: MENEJA MRADI TAREHE:23/01/2015 MUDA: 02:00 ASUBUHI
NO. NAME ADRESS NO. NAME ADRESS
1 Erasmus B. Hyera P.O.BOX. 513,
MTWARA
2 Stephen M.
Ndunguru
P.O.BOX. 295,
SONGEA
3 Moshi S. Batuza P.O.BOX. 464,
MUSOMA
4 Coleta Kyaitela P.O.BOX 72275,
DSM
5
Melkiado January
P. O. Box 22151,
DAR ES SALAAM
Mhandisi Omar J. Bakari
MKURUGENZI MKUU