D dav22 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,887 Reaction score 314 Feb 15, 2014 #1 Habari wadau, kuna dogo langu alifanya Interview kazi za TRA pale UDSM mwaka jana mwezi wa kumi wakambiwa watapigiwa simu ila hadi sasa kimya kuna mtu mwenye taarifa na hizi kazi aisee???
Habari wadau, kuna dogo langu alifanya Interview kazi za TRA pale UDSM mwaka jana mwezi wa kumi wakambiwa watapigiwa simu ila hadi sasa kimya kuna mtu mwenye taarifa na hizi kazi aisee???
Peter jaluo JF-Expert Member Joined Nov 10, 2013 Posts 1,750 Reaction score 253 Feb 15, 2014 #2 Hamna kitu hapo mwambie.aendelee na shughuli yake juzi watu waliitwa kwenye interview wakachukua 50 tu cjui lkn jf pana wengine .watakubaharisha mkuu
Hamna kitu hapo mwambie.aendelee na shughuli yake juzi watu waliitwa kwenye interview wakachukua 50 tu cjui lkn jf pana wengine .watakubaharisha mkuu
T Teresia Mahimbi JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 271 Reaction score 91 Feb 15, 2014 #3 Peter jaluo said: Hamna kitu hapo mwambie.aendelee na shughuli yake juzi watu waliitwa kwenye interview wakachukua 50 tu cjui lkn jf pana wengine .watakubaharisha mkuu Click to expand... Kama ni investigation Officer wameanza kazi mwezi huu
Peter jaluo said: Hamna kitu hapo mwambie.aendelee na shughuli yake juzi watu waliitwa kwenye interview wakachukua 50 tu cjui lkn jf pana wengine .watakubaharisha mkuu Click to expand... Kama ni investigation Officer wameanza kazi mwezi huu