Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 70
Kwa kweli kuitwa mwanaume hasa wale walioko kwenye ndoa au familia si mchezo.Ada.chakula.matibabu.mavazi.mapambo ya nyumbani.kiwanja.gari.nyumba na tena kuudumia kamchepuko looh.kweli ndio sababu wengi pressure zinatudondosha
Kwa upande mwingine kuitwa baba maana yake ni kuitwa boi.........ukatafute wao wale tu......na usipofanya hivyo eti watu na akili zao wanakufanyia kikao cha kukuuliza kwa nini huleti huduma....? na ikitokea umewaambia kuwa unaumwa bado watakuuliza sasa hawa wana familia yako watakula nini?...........Yaani wameshakuona wewe ni Boi wao..........!!!!!!!!!Kwa kweli kuitwa mwanaume hasa wale walioko kwenye ndoa au familia si mchezo.Ada.chakula.matibabu.mavazi.mapambo ya nyumbani.kiwanja.gari.nyumba na tena kuudumia kamchepuko looh.kweli ndio sababu wengi pressure zinatudondosha
Kwa kweli kuitwa mwanaume hasa wale walioko kwenye ndoa au familia si mchezo.Ada.chakula.matibabu.mavazi.mapambo ya nyumbani.kiwanja.gari.nyumba na tena kuudumia kamchepuko looh.kweli ndio sababu wengi pressure zinatudondosha
Kwa upande mwingine kuitwa baba maana yake ni kuitwa boi.........ukatafute wao wale tu......na usipofanya hivyo eti watu na akili zao wanakufanyia kikao cha kukuuliza kwa nini huleti huduma....? na ikitokea umewaambia kuwa unaumwa bado watakuuliza sasa hawa wana familia yako watakula nini?...........Yaani wameshakuona wewe ni Boi wao..........!!!!!!!!!
kwi kwi na mke ni msaidizi atakupiga tafu jamani
Kamanda kama upo ktk ndoa na nitegemezi ilihali upo safi kiafya looh.kazi ipo.bt kama bado kijana na haujaingia ktk hayo majukumu vuta subra mda utafika ndio utaekewa nn namaanisha.kwahiyo sisi ambao ni tegemezi ni wanaume nusu au sijaelewa concept ? Mkuu Mbangubangu.
Mkuu ni mpaka apende................vinginevyo bado uboi unabaki palepale.........Hizi tamaa za mwili huwacost sana watu.......kwi kwi na mke ni msaidizi atakupiga tafu jamani