kikulacho...
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 321
- 224
habari zenu wakuu mrejesho kwa walioitwa ktk usaili chuo kikuu cha dodoma
Kaka wewe ulifanya usaili lini?habari zenu wakuu mrejesho kwa walioitwa ktk usaili chuo kikuu cha dodoma
Mwezi wa kumi na moja mkuu ila nasikia watu wapo kazini teyariKaka wewe ulifanya usaili lini?
Waliitwa lini??? Manake toka mwezi wa kumi na moja natembelea website yao sijaona sehem waliyoita.. Au waliitana kimya kimya??Mwezi wa kumi na moja mkuu ila nasikia watu wapo kazini teyari