Kuitwa kwenye Usaili, TBS kumekucha

Kuitwa kwenye Usaili, TBS kumekucha

thanks aseeh nimeona dogo kachaguliwa kwenye posts 2, quality assurance officer( MC &CHEM) pamoja na standard officer (MC & CHEM) wakuu nipeni tips niweze kumwambia ni nini aweze kufata dogo aweze kutusua maana ajira ngumu.thanks
 
Nice, selection yao nimeielewa no need of more people wakati nafasi kwenye kada tofauti tofauti ni chache kila la kheir engeneers naona mambo yenu kwa sana mkatafute ugali wa watoto
 
Wametoa kada chache ila leo ndio wameanza kutoa kada chache chache
 
Nice, selection yao nimeielewa no need of more people wakati nafasi kwenye kada tofauti tofauti ni chache kila la kheir engeneers naona mambo yenu kwa sana mkatafute ugali wa watoto

mining hawajaita
 
Jaman hawa tanroad Tanga bado hawajaita watu kwenye usail isijekuw wameita mie sijui naomben msaada kwa anayejua web yao plz.
 
iv tbs wanaulizaga technical qns au ni general concepts kwenye fani huska? MSAADA tafadhali
 
Jaman hawa tanroad Tanga bado hawajaita watu kwenye usail isijekuw wameita mie sijui naomben msaada kwa anayejua web yao plz.

aisee.. nlfkr npo peke yangu, tupo dilema kabxa
 
Back
Top Bottom