Acha kupoteza muda wako eti unaenda kufanya interview Arusha ya post 1 then shortlist ni 500 lakini kama una nauli ya kupoteza nenda ukapambane na baridi ya Arusha then utoke mikono mitupu
Acha kupoteza muda wako eti unaenda kufanya interview Arusha ya post 1 then shortlist ni 500 lakini kama una nauli ya kupoteza nenda ukapambane na baridi ya Arusha then utoke mikono mitupu
Acha kupoteza muda wako eti unaenda kufanya interview Arusha ya post 1 then shortlist ni 500 lakini kama una nauli ya kupoteza nenda ukapambane na baridi ya Arusha then utoke mikono mitupu
Wewe unayejiita umezaliwa tena una akili sawa sawa kweli? Au ulizaliwa mapema sehemu ya akili zako ilikuwa bado haijatengemaa? Umeona hizo kazi zote za TANAPA zina watu 500 kwa post 1? Kazi gani hiyo? Hebu itaje. Usije ukawa unaropoka tu hapa kumbe hata kusoma kwenyewe hujui na vyeti ulivyo navyo vilitokana na NECTA ku-resit mtihani wa F4 na wala sio wewe!Acha kupoteza muda wako eti unaenda kufanya interview Arusha ya post 1 then shortlist ni 500 lakini kama una nauli ya kupoteza nenda ukapambane na baridi ya Arusha then utoke mikono mitupu
Kwa kuwa wewe either baba yako yupo TANAPA ama una backup kubwa nyuma yako siyo wote wako kama wewe, ukweli ndio huo mimi nimekuwa mfanyakazi wa TANAPA kwa zaidi ya miaka 5 I know in and out ya TANAPA ni kwamba 90% ya watu wanaajiliwa kwa vimemo na interview ni ushahidi tu basi.Sasa unataka nimshauri mtu anaetokea huku Biharamlo aje kufanya interview tena ya kuandika whetever it will be iwe Dar ama Arusha is a wastage of time and money.That is how it is and I stand to be corrected alI stand to be corrected alwaysWewe unayejiita umezaliwa tena una akili sawa sawa kweli? Au ulizaliwa mapema sehemu ya akili zako ilikuwa bado haijatengemaa? Umeona hizo kazi zote za TANAPA zina watu 500 kwa post 1? Kazi gani hiyo? Hebu itaje. Usije ukawa unaropoka tu hapa kumbe hata kusoma kwenyewe hujui na vyeti ulivyo navyo vilitokana na NECTA ku-resit mtihani wa F4 na wala sio wewe!
ICHECK KWA LINK HII HAPA:The official site of the Tanzania National Parks - HomeWadau, nasikia kuwa TANAPA wametoa majina ya wanaoitwa kwenye usaili wa nafasi mbalimbali zilizotangazwa mwezi Machi, 2013. Mwenye hiyo link atupie tafadhali maana kwenye website yao naona hakuna kitu!
Unayesema umefanya kazi TANAPA kwa zaidi ya miaka 5.Ulikuwa katika nafasi ipi ndani ya TANAPA?
Hayakuhusu lakini nakuambia mimi nimekuwa TANAPA for almost 5 years na hakuna mbuga ya Tanzania sijawahi kufika na kujionea hali halisi, anzia Katavi-Rukwa, Hifadhi za Ugala mkoa mpya wa Katavi, panda Hifadhi za Manyara, njoo kwenye mapori ya Burigi huko Kagera na mapori ya Muyovosi na Gombe Kigoma, njoo Serengeti national park na vigame reserves vyake vya Fort Ikoma na Ikorongo game Reserves, panda Pangani Tanga na shuka kote huko Ruaha na Selous kote ni nyumbani.So in short mimi naijua TANAPA yote na kila linalotendeka.Niliachana na TANAPA baada ya kuona majungu yamezi na watu kuwinda nafasi yangu whether Iam dead or alive someone wanted it kwa kuahidiwa bahasha.So am talking from my experience kwamba kuna mtu wa ndani aliniambia kuwa hata ile interview waliyokuja kufanyisha Dar mwaka jana mwezi wa 8 ilikuwa ushahidi tu kazi walikuwa wameshapewa waliotanguliza vibahasha
anzia Katavi-Rukwa, Hifadhi za Ugala mkoa mpya wa Katavi, panda Hifadhi za Manyara, njoo kwenye mapori ya Burigi huko Kagera na mapori ya Muyovosi na Gombe Kigoma, njoo Serengeti national park na vigame reserves vyake vya Fort Ikoma na Ikorongo game Reserves, panda Pangani Tanga na shuka kote huko Ruaha na Selous kote ni nyumbani.So in short mimi naijua TANAPA yote na kila linalotendeka..So am talking from my experience kwamba kuna mtu wa ndani aliniambia kuwa hata ile interview waliyokuja kufanyisha Dar mwaka jana mwezi wa 8 ilikuwa ushahidi tu kazi walikuwa wameshapewa waliotanguliza vibahasha