Kuitwa kwenye usaili Serikalini

Kuitwa kwenye usaili Serikalini

KING KUBE

Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
12
Reaction score
1
Wadau ambao mliomba kazi serikalini kupitia Sekretariati ya Ajira orodha ya majina imetoka yakiainisha siku tarehe na mahari usaili utakapo fanyika.

kada hizo ni,RANGER ii MWEKA, TANTRADE, KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI; KATIBU MKUU MIFUGO NA UVUVI,KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI,WATENDAJI WA MITAA NA VIJIJI ,CHUO CHA SANAA BAGAMOYO,CHUO KIKUU DSM, NYUMBU, MWEKA, NA NYINGINE KAZA WA KAZA SI HIZI TU NI NYINGI ILA HIZI NI BAADHI TU.

FUNGUA PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS AU ANDIKA TANGAZO LA USAILI 20 MARCHI UWEZE KUONA ZAIDI.NAWATAKIA MAFANIKIO NA USAILI MWEMA MIMI NILITUMA LAKINI SIJAFAIKIWA KUITWA.
 
But mie niliomba lawyer,grade ii,sasa sijajua ndo hizo au hizi ni nyingine....?maana nimefungua hii link nimeona vitu vingine tofauti.
 
yanaonekana ndugu angalia vizuri utaona majina angalia sekretaliati ya ajira call for interview utaona.
 
Nasikia watu wamelia sana hukooo....mje mtupe majibu ya interview ya leo sabasaba.

Kaka usiombe kukutana na pepa maswali manne tu dakika arobaini kama sekunde nne, ukizingatia ulimaliza chuo miaka 5 iliyopita. mungu namwomba anisaidie kuleta miujiza niitwe kwenye oral. kweli utumishi nawavulia:yo:
 
Supplies officer-National Food Reserve Agency mbona sijaiona? Msaada plz kwa mwenye ufahamu
 
Back
Top Bottom