Hapo kila hatua wanakaa watu BENCHI boss wangu Jitahidi Pia MUNGU atakufanyia wepesi MKUU.Ndio,mie nimeomba kaya Plant Operator,ratiba yangu inasema naanza Mchujo iyo Jumamosi saa 5,na Jumatatu ni Prac na Jumatano ni Oral sasa hapo sijajua kila hatua ya usaili kuna mchujo wa kuachwa ama chujio ni mwisho wa Usaili,na pia naomba kuuliza mfano katika kigezo walisema na kuweka kigezo cha kuwa na leseni ya udereva na leseni ukawa huna je inakuwaje hapo ikitokea umefaulu usaili
wewe leseni huna? mimi nina document zote na sijaitwaShukrani sana kwa taarifa yako,nilihisi tu yakuwa mwezi wangetoa na kweli wametoa,nashukuru nami nipo katika kuitwa kwenye Usaili,ila kuna kimoja ambacho nakifiria kuna sifa mojawapo ya kigezo sina ni kile chakuwa na Leseni ya Udereva hapo sijui mnanishaurije jamani
Sasa mfano kama wataki wa kutoa waliandika uwe na leseni,nikatuma maombi bila leseni na usaili wameniita hapo sijui inakuwaje ikitokea nimepita leseni hawataangalia ama ,naogopa kupoteza nauli yanguHapo kila hatua wanakaa watu BENCHI boss wangu Jitahidi Pia MUNGU atakufanyia wepesi MKUU.
Nawe uliomba zile nafasi za Plant Operatorwewe leseni huna? mimi nina document zote na sijaitwa
nafasi moja yako mkuu..usikate tamaa.....nenda......ukikosa inakua umeadd experience ya interviews
Mkuu hiyo nauli ya kujichanga fasta hivo inakuw ngumu ngoja nitulie kwanza maana kwenda kuongeza uzoefu wa interview saizi siitaji, naitaji kazi uzoefu nimepata wa kutosha kutoka PSRS.
Sasa mfano kama wataki wa kutoa waliandika uwe na leseni,nikatuma maombi bila leseni na usaili wameniita hapo sijui inakuwaje ikitokea nimepita leseni hawataangalia ama ,naogopa kupoteza nauli yangu
Inategemea waliongea kwa lugha gan kama walisem n compulsory hapo sawaa ,ila kama walitumia lugha kama hii will be an added advantage. Inaweza isiwe shida sanaa ila wenzako waliofanya vzur kama ww wanaweza chukuliwa kwa advantage wana lessenSasa mfano kama wataki wa kutoa waliandika uwe na leseni,nikatuma maombi bila leseni na usaili wameniita hapo sijui inakuwaje ikitokea nimepita leseni hawataangalia ama ,naogopa kupoteza nauli yangu
Kama ndo unafikiria hivi man hiyo hela ya nauli fanyia mengine kiroho safi..i give you a brother to brother recommendatationNtaenda hta kushangaa chuga ni moja ya maendeleo pia
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa Mungu yote yanawezekana kila La kheri brooHongera kwenu, mimi nilichelewa kuapply hivi nikienda bila kuitwa nikijaribu kuomba itawezekana?
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nenda kama leading contenstant...nikupe ushuhuda kidogo ....mwaka flani niliitwa sehemu interview (nafasi 4 tuliitwa 700) na ilikua ya utumishi ....washkaji walikataa kwenda wakasema sehemu hio lazima watu wapo so tusijisumbue ....m nkaenda ....unbelievable nlikua among 4 waliopata kaziNtaenda hta kushangaa chuga ni moja ya maendeleo pia
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sisi tumeitwa 384 nafasi 2,ila naenda kupambana mpaka kielewekemkuu nenda kama leading contenstant...nikupe ushuhuda kidogo ....mwaka flani niliitwa sehemu interview (nafasi 4 tuliitwa 700) na ilikua ya utumishi ....washkaji walikataa kwenda wakasema sehemu hio lazima watu wapo so tusijisumbue ....m nkaenda ....unbelievable nlikua among 4 waliopata kazi
Uliomba kada gani??Thats the spirit we need brother
silent_ocean
Kuwa na imani,wengine tunaenda kwa Imani tu.Nuali Newala mpaka Arusha af ukute kuna kamlete