nimepigiwa simu juzi ijumaa kutoka nssf nikitakiwa kwenda kwenye usaili jumatano luther house azania front. kwa hiyo sidhani kama watatoa shortlist kwenye media!
dah nisamehni kwa kutoa habari hii, nimewasiliana na jamaa aliyetoa nyeti na kusema ni yapo kwenye mchakato kwa kipindi hiki alikosea kunieleza tu, sorry wadau.......mjini shule!
Hizo ajira za NSSF mbona wanasema zina wenyewe au wewe ni miongoni mwa wenyewe.
pia mi nimepigiwa leo simu asbh nimeitwa j5 kwenye interview ni SSRA,SOCIAL SECURITY REGULATORY AUTHORITY.
nimepigiwa simu juzi ijumaa kutoka nssf nikitakiwa kwenda kwenye usaili jumatano luther house azania front. kwa hiyo sidhani kama watatoa shortlist kwenye media!
hongera mkuu.
Huyu aliyepigiwa simu ni mzushi...na isitoshe sasa hv hawapigi simu wanaandikia watu email na text messages....majina bado yapo kwenye mchakato na isitoshe kama usahili na written interview zinafanywa pamoja kwa post zote..sema za Operations watu waliiomba ni wengi kwahiyo mchakato unachukua muda sana...ACHENI UZUSHI NA KUWARUSHA WATU ROHO....Kwa wale ndugu zangu wanaosema pana udini na ukabila nafikiri ni fikra hasi...they ve to think bigger and better

Hebu tuelezeni vizuri jamani sijawaelewa hata mmoja...ni mmeitwa interview za NSSf au zipi???nmantuchanganya maana hatujaelewa?? na je mliopigiwa ni mllioomba nafasi gani??tujuzeni...sie bado tunasuribi kupigiwa simu....god bless..
nssf hawajaita bado ni chanzo cha uhakika kimeniambia kuna maombi kama ya elfu kumi na zaidi wameanza kuandikisha application