Kuitwa kwenye interview TRA post za diploma

Kuitwa kwenye interview TRA post za diploma

SpecialBwai

Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
5
Reaction score
1
Jamani kama uliomba kazi tra post za level ya diploma kaa kalibu nasimu yako wameanza kuita (tax assistant,preventive assistant na custom assistant.
 
hivi hii nchi mbona inautaratibu mbovu mara uhakiki mara waite watu kwenye interview ovyo kweli
 
hili taifa silielewi sijui utaratibu gani huu daah 2020 sitakubali kabisa bora kupotea huu uchwara kumbe
Kumbe kuelewa nacho kipaji aisee,sasa hapo kinachokuchanganya nini?? Kwani ukifanya Leo interview na kazi ukaanza mwezi wa 9 kuna athari gani kwa zuio LA uhakiki??
 
Kumbe kuelewa nacho kipaji aisee,sasa hapo kinachokuchanganya nini?? Kwani ukifanya Leo interview na kazi ukaanza mwezi wa 9 kuna athari gani kwa zuio LA uhakiki??

Unapoambiwa ajira zimesitishwa, kwako inamaanisha nini? Interview ni mojawapo ya mchakato wa ajira mpya. Achilia mbali suala la lini kuitwa kazini.
 
Kama wanaita watu basi uhakiki umeisha....maana usahili ni sehemu ya ajira na ndo maana sekretariat ya ajira walisitisha usahili wote waliokuwa washautangaza....
 
Kw taarifa zaidi waliosoma kodi ktk chuo cha kodi ITA wao wameitwa na kupewa barua kuanza kazi direct kutokana na uhaba wa wafanyakazi
 
vip kwa nyie mlioitwa kigezo cha umri wanakiangalia 25yrs maana nakumbuka zilikua na limitation ya miaka
Halafu kigezo cha umri hivi kinatoka wapi ? Maana nilisikia hata ajira nyeti wanapendelewa vijana. Inabidi tupinge ubaguzi wa aina zote kuanzia umri hadi rangi katika ajira zetu .
 
Kw taarifa zaidi waliosoma kodi ktk chuo cha kodi ITA wao wameitwa na kupewa barua kuanza kazi direct kutokana na uhaba wa wafanyakazi

Mkuu kazi wanaanza lini?
Maana hawa nao ni watumishi wa umma ambao in turn ajira zao zimesitishwa....
Sema mimi nimeanza kuhisi kitu kimoja...kwamba hili zuio la ajira litakuwa linaondolewa kimya kimya kwa taasisi ambazo zina unyeti wa kuhitaji watu....Mfano TRA inahitaji nguvu kazi ili kodi ikusanywe....Na kuna baadhi ya kada zitaenda hata mpaka mwaka kesho bado wanaambiwa ajira zimesitishwa..
 
Back
Top Bottom