Kuitwa kwenye interview bot; post-note counter

Kuitwa kwenye interview bot; post-note counter

Joined
Apr 21, 2015
Posts
10
Reaction score
0
Ndugu wapendwe hivi BOT wameshaita watu kufanya interview kwenye zile nafazi za note counter? kwa anae fahamu naomba anifahamishe
 
Hawajaitwa,Bot huwa wanachukua muda mrefu sana kuita,kwa hyo kuwa mvumilivu tu kijana.
 
Jamani kuna mwenye taarifa ya interview ya bandari kwa ma legal officer nafasi walitangaza mwezi wa kwanza
 
Jamani tpa walivyotoa nafasi za kazi kwa wanasheria mwezi wa kwanza vpi kuna watu wameilp,,,
 
Sijui chochote ila usiwategemee sana hawa TPA maana ajira zao zimekaa kijanjajanja sana.
 
note counter bot bado hawajaitwa. kama vp tafuta tempo maana bot si ajabu ikapita hata miezi 6 ndio uitwe
 
Hapo mpaka watu wakate tamaa ndo wanaita watu afu wengi wanaotuma huwa na kazi tayari ndo shida...
 
Back
Top Bottom