Kuitwa kazini Utumishi, Oktoba 2015

Kuitwa kazini Utumishi, Oktoba 2015

Well said broh
Ila watto wa MASIKINI tunateseka sana kuona vitu kama ivo

Mimi nacho weza kuwashauri watu wakiona kazi zinatangazwa utumishi wasiache kuomba, ila nijitihada za mtu kusoma na kuwin kwenye hiyo interview, Utumishi haimpendelei mtu u people, mimi ni product ya utumishi, at first na mimi nilikuwa nafanya interview nakosa lakini sikukata tamaa. Ila kama watu wengine walivyosema hapo juu, ukiona umeitwa utumishi na umefikia level ya oral interview hata kama ulikosa kazi kwenye hiyo uliomba, ikitokea nyingine ambayo inafanana na hiyo wale watu watakuita kazini, trust me, kwasababu majina wanakuwa wanahifadhi kwenye database yao. Ushauri wangu ni kwamba watu ombeni kazi bila kuchoka one day mtatoka tuu, hamna longolongo utumishi, mi sikumjua mtu pale lakini mwisho wa siku kazi nilipata.
 
mimi nacho weza kuwashauri watu wakiona kazi zinatangazwa utumishi wasiache kuomba, ila nijitihada za mtu kusoma na kuwin kwenye hiyo interview, utumishi haimpendelei mtu u people, mimi ni product ya utumishi, at first na mimi nilikuwa nafanya interview nakosa lakini sikukata tamaa. Ila kama watu wengine walivyosema hapo juu, ukiona umeitwa utumishi na umefikia level ya oral interview hata kama ulikosa kazi kwenye hiyo uliomba, ikitokea nyingine ambayo inafanana na hiyo wale watu watakuita kazini, trust me, kwasababu majina wanakuwa wanahifadhi kwenye database yao. Ushauri wangu ni kwamba watu ombeni kazi bila kuchoka one day mtatoka tuu, hamna longolongo utumishi, mi sikumjua mtu pale lakini mwisho wa siku kazi nilipata.
sawa mkuu ngoja tuamini
 
Hongera zao wote watakaobahatika kuwa kwnye msafara huo,binafc nshakata tamaa na online aplications,bora kuhangaika na utumishi wa uma pkee,vipi zile nafasi za tanroads ruvuma jamani,washatoa majina ya interview?naomba msaada.
 
Well said broh
Ila watto wa MASIKINI tunateseka sana kuona vitu kama ivo

Na anayechaguliwa sehemu mbili hakuna namna ataenda zote mbili, atachagua moja na hiyo nyingine itakuwa wazi na atachukuliwa mmoja wa wale waliokuwa kwenye reserve list. Kwa hiyo bado secretariat ya ajira wako fair. Kwa hiyo mtoto wa maskini atapata tu kama alifanya vizuri interview yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom