Kuitwa kazini usaili wa January 2013 utumishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuitwa kazini usaili wa January 2013 utumishi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Makaanji, Feb 26, 2013.

 1. Makaanji

  Makaanji Member

  #1
  Feb 26, 2013
  Joined: Jan 1, 2013
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mimi ni mmoja kati ya walifanya interview ya utumishi mwenz januari lakin mpaka leo hii hawajatoa majina ya kuita watu kazini.Naomba kuuliza kwa yeyote yule mwenye kujua ni muda gani wanachukua mpaka kuita kazini watu.Sababu kwenye website yao wameandika kuanzia siku saba hadi 21 lakin niki hesabu sas zimefika siku zaidi ya 21
   
Loading...