kuitwa kazini Secretariat ya Ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuitwa kazini Secretariat ya Ajira

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kibakwe, Jul 27, 2012.

 1. kibakwe

  kibakwe Senior Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na. EA.7/96/01/C/8 27 Julai, 2012 KUITWA KAZINI Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwaarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 19 hadi 20 Juni, 2012 kuwa walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu usaili na wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri kama ilivyoonyeshwa katika tangazo hili. Aidha, wanatakiwa kuripoti katika vituo vyao vipya katika muda ambao umeainishwa katika barua zao za kupangiwa vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira. Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao. Aidha, wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba mara nafasi za kazi zitakapotangazwa tena. NB: Tangazo hili linapatikana katika tovuti zifuatazo: Public Service Management, www.pmolarg.go.tz, Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania Website, Home na Weights & Measures Agency* - WMA Na. MAMLAKA YA AJIRA TAALUMA/KADA MAJINA YA WANAOITWA KAZINI 1. WAKALA WA VIPIMO AFISA VIPIMO II 1. FRANCIS GENGA OLWERO 2. TEGEMEO COSMAS Na. MAMLAKA YA AJIRA TAALUMA/KADA MAJINA YA WANAOITWA KAZINI 3. LEO PATRICK 4. ABEID JALALA 5. EVA P. IKULA 6. MAHMOUD A. MFAUME 7. YOHANA J. SANJUKILA 8. BAKARI HASSAN NAKUCHIMA 9. MELCHIZEDECK LEVI NDALA 10. OKEY E. MWANGASA 11. HAPPINESS O. SARONGE 12. YOHANA REDSON BAKARI 13. JASSON THEONIST 14. KASSIMU S. MAJIJI 15. LUSAKO E. MWAIPAJA 16. RENATUS MATHAYO 17. SARA MGULA 18. HERMAN M. CHIRAGWILE 19. SHABAN IKINGU 2. 2 KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI NA UTALII MHIFADHI MAMBO YA KALE II 1. KELVIN S. FELLA 2. PAULO MAPINDUZI 3. AGNESS ONNA GIDNA AFISA UFUGAJI NYUKI (MKUFUNZI) II 1. MOHAMED WAWA 2. ASTERICO LAMECK 3. GRACE NCHIMBI 4. FESTUS ASENGA 5. MAGDALENA RAYMOND 6. STANSLAUSS BERNARD LIKIKO 7. BURTON SOLO 8. FAITH THOMAS 9. ROBERT SIMPLICY 10. FLORA G. NANDI MHIFADHI WANYAMAPORI II 1. REHEMA TINGIDE ARPUMBU 2. MELEJI OLOBIKEO MOLLEL 3. EMMANUEL M. MBASHA 4. EDWARD K. MALIMA Na. MAMLAKA YA AJIRA TAALUMA/KADA MAJINA YA WANAOITWA KAZINI 5. PRAY-GOD RAPHAEL NNKOH 6. NICHOLAUS KISAKA 7. VENANCE MSAFIRI 8. ELIBARIKI S. KITEMARI 9. KENEDY PHILIP 10. JANE F. MLAY 11. PETER LEMGRIS KIMBAY 12. DAVID W. A. MARWA 13. ANITA MASANJA 14. THOMAS MWATWINZA 15. CHARLES NYAMHANGA 16. JOVIN KAIJAGE KAMUGISHA 17. CALVIN ELIAS LYAKURWA 18. ABDULRAHMAN MARIJAN 19. CLARA MANASE 20. MUKI M. MSUMI 21. NDAGINE S. MSUYA 22. MERLYZEDECK PAUL MOSHY 23. MOHMED A. MPOTO 24. THOMAS GEVA 25. GLAVANNI MATHIAS NYANZA 26. JOHN HARUNI 27. BETHSHEBA ANDREW 28. KANDEY K. OLESYAPA 29. KELVIN JOHN NANGALI 30. FREDNAND FRANK SHAYO 31. GOODLUCK JOSEPH MALLYA 32. RESTUTA MAGANGA 33. FELICIANO S. SLUMPA 34. KASHU KIRTALO 35. LEMBRIS L. MOLLEL 36. PETER JACKSON LEMA 37. ROGATHE J. TIPPE 38. STEPHANO OBED LUCUMAY Na. MAMLAKA YA AJIRA TAALUMA/KADA MAJINA YA WANAOITWA KAZINI 39. ELIBARIKI NAKOMOLWA 40. MBEEYA S. LENGARUKA 41. ABEL S. ISSANGYA 42. GODFREY J. KISUNGA 43. MARY KERERI 44. JAMES BUHELE MASANJA 45. SALOME E. GISSEMODA 46. RICHARD MAULID 47. ELIAS MATHIAS 48. DANIEL JACOB AKKO 49. SIMON MASHIBA IKONGO 50. STEPHANO JOSEPH 51. ALICE ANTHONY CHOTTA 52. RASMINA MSHANA 53. SHABAN I. CHANDE 54. JOSEPHAT NYAKUNGA 55. THOBIAS N. WILLIAM 56. LAURENCE THOMAS 57. HUSSEIN ALLY KHALFAN 58. INNOCENT P. MALATA 59. MARY M. KADESHA 60. FELISTA P. J. SWAY 61. TIMOTHY EPAFRASHOO 62. CHARLES LUKUBA 63. CORBINIANO MARCEL 64. LINUS KATITEMA 65. PAUL M. MKUTA 66. KENEDY O. MWAKATOBE 67. FILBERT S. UMBELLA 68. ERICK R. MONGI 69. CHRISTOPHER ZABRON MLIMBILA 70. ALAIS JOHN 71. HAMIDA HALID TILISHO 72. KURWA F. MAROBA Na. MAMLAKA YA AJIRA TAALUMA/KADA MAJINA YA WANAOITWA KAZINI 73. KISANGA ANGELA ELIUFOO 74. NURDIN MASHAMBO 75. PASCAL JOSEPH MAHOO 76. KIPILANGAT J. KAURA 77. COSMAS KITAPONDYA 78. NEEMA DENIS 79. GEORGE SIWA MANYAMA 80. AGNESS TRYSON MWAKAPILA 81. CHACHA MAGIGE 82. MWIGUTA MASATU 83. NUSUNTEMI YOHANA 84. RODA PAUL KABAKAMA 85. THOMAS E. NYAGAWA 86. NYANJURA NDARO 87. VICTOR N. CHROSTOPHER 88. UPENDO C. KIMARO 89. ALLY A. KAJUNI 90. FRANK MAGESA 91. HENRY S. MALINGA 92. BUZORO KUSSAYA 93. GABRIEL HAMFREY 94. RAFIKIEL JOHN 95. MAINARD JOHN FALLE 96. LEIYO JOSHUA OLEMANGI 97. MILLICIENTP. MACHIRA 98. JULIUS MUGISHAGWE 99. MCODEMU DANIEL MWIRO 100. YASIN ADIL URASSA 101. REGINA ENOCK SHEMBETU 102. RUKIA MUSSA KOMBO 103. GERALD E. MLAY 104. FAUSTINE JOSSIAH 105. JEREMIAH D. NDELEMBI 106. ARON MATHAYO LYIMO Na. MAMLAKA YA AJIRA TAALUMA/KADA MAJINA YA WANAOITWA KAZINI 107. WILFRED GERALD URIO 108. MABOTO THOMAS 109. SOSTHENES ELIAS 110. SENDE SHABAN MAKULA 111. OMBENI ELIDARIA CHUWA 112. DIOCRES T. ANATHORY 113. MESHACK T. HAMISI 114. PARMENA ELISA PALLAGYO 115. NKWIMBA T. KILANGI DEREVA II 1. HAJI ADAM ABDU 2. PLACIS MASIRE SEU X. M. DAUDI KATIBU
   
 2. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Hongereni sana wana jamii mlio toboa ozone ya ajira
   
 3. p

  panadol JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunaishukuru sana serikali kwa kuweza kuwapatia vijana wenzetu ajira na vijana wengine ambao bado hawajapata wasikate tamaa waendelee kuomba pindi nafasi zinapotangazwa mungu yupo atawasaidia nanyi mtapata ajira kwa wakati wake!
   
 4. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  JAmaNI NA SISI WA NAFAS ZILE BUKU 2 INTAVIEW LINI?
   
Loading...