Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
mzigo mzima huu hapaCALL FOR EMPLOYMENT - INVESTIGATION OFFICERS
TRAINING: INTAKE II DATE: 04/08/2014 - 31/10/2014
REPORTING DATE: 30/07/2014
PLACE: KIDATU POLICE OFFICERS COLLEGE
FURTHER INFORMATION:
We have sent you "a call for employment letter" through your
respective postal addresses. Note that only successful candidates are contacted
Kufuatia usaili (Oral Interview) uliofanyika kati ya tarehe 03/02/2014 – 14/03/2014 TAKUKURU Makao Makuu kwa watahiniwa walioomba nafasi za Afisa Uchunguzi daraja la pili na wachunguzi Wasaidizi, yafuatayo ni matokeo ya usaili huo:
http://www.pccb.go.tz/images/stories/adverts/TANGAZO%20-%20WALIOITWA%20KAZINI.pdf
Assistant Investigations Officers
http://www.pccb.go.tz/images/stories/adverts/assistant_investigation_officers.pdf
wanajamvi kuna tatizo la rushwa napo hapo pccb ukiangalia majina security guard utaona kuna watu wameongezwa kama jina EMMANUEL CHARLES SIZYA hayupo kwenye orodha ya walioitwa interview na hayupo kwenye orodha ya waliofaulu aptutate test ila anapatikana kwenye orodha ya walioitwa kazini hii sio haki
Mungu wangu mkuu,uliye juu katika kiti cha enzi,nasema asante kwakuwa maombi yangu umeyasikia,umekuwa muaminifu kwangu nami nitakuwa muaminifu kwako kwa kutenda mema!,asante kwa zawadi hii ya kazi uliyonipa,nakuomba uwajaalie hata wale wasiofanikiwa milango yao pia ifunguke!
Hilo Jina la david Moyes linakupa gunduWaliopata chance hongereni sana wengine tulijaribu tukachemka au tulichinjiwa baharini??MUNGU ATUPE UVUMILIVU WATOTO wa maskini siku moja milango itafunguka tuu!!
Hilo Jina la david Moyes linakupa gundu
ju mzigo mzima huu hapa
website ya nini download hizo attachement alizoweka mdau mapovu uone jina lakoMbona hiyo web ya takukuru haifunguki?
wadau tujuzane kwa anayefahamu kiwango cha mshahara upande wa investigation officer! Nashukuru mungu nimepata kazi nipo kitaa toka 2011! Mungu mkubwa amejibu maombi yangu:smiling:
Download attachment nilizoweka juu majina ya attendants yapoAisee me mwenyewe na swali hilo hilo hao office attendant vp