KUITWA KAZINI-NGORONGORO

KUITWA KAZINI-NGORONGORO

Anthorexa

Member
Joined
Feb 18, 2018
Posts
7
Reaction score
2
Wasalaam
Natumai ni wazima wa afya

Tafadhari tupeane updates zozote kuhusu kuitwa kazini baada ya interview iliyofanyika ngorongoro February mwaka huu

Tuliambiwa baada ya wiki 2 lakini sasa tunaianza wiki ya 5,kama kuna muhusika yeyote huku jf Tafadhari tupeni updates kama nafasi zimeshachukuliwa juu kwa juu tuambieni pia

[HASHTAG]#hoping[/HASHTAG] for + responses!!!
 
mbona nackia tayari watu washafanya training
 
Hata mimi nimesikia wameshaitwa na kuanza training.
 
Watu washaanza na kazi, pole kwa kutoitwa kamanda.
 
Wadau kama kuna mtu yupo huko au anamfahamu aliepo huko naomba tafadhari aniunganishe kuna vitu nataka kuuliza!!!!!

Coz nimesikia wameitwa baadhi ya kada ila nyingine bado hawajaita

[HASHTAG]#Shukrani[/HASHTAG]
 
Mkuu si ungeuliza tù hapa na ungepata msaada wa haraka?
 
Wadau kama kuna mtu yupo huko au anamfahamu aliepo huko naomba tafadhari aniunganishe kuna vitu nataka kuuliza!!!!!

Coz nimesikia wameitwa baadhi ya kada ila nyingine bado hawajaita

[HASHTAG]#Shukrani[/HASHTAG]

Huyu jamaa anaweza kukujibu
Hazchem plate
 
Wam
Wasalaam
Natumai ni wazima wa afya

Tafadhari tupeane updates zozote kuhusu kuitwa kazini baada ya interview iliyofanyika ngorongoro February mwaka huu

Tuliambiwa baada ya wiki 2 lakini sasa tunaianza wiki ya 5,kama kuna muhusika yeyote huku jf Tafadhari tupeni updates kama nafasi zimeshachukuliwa juu kwa juu tuambieni pia

[HASHTAG]#hoping[/HASHTAG] for + responses!!!
etumiwa sms ya kuitwa kazini kuanzia Jumatatu ya tarehe 13 yaani wiki ijayo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom