Kuitwa kazini MIST

Kuitwa kazini MIST

nasi

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
47
Reaction score
20
Wadau

Kwa wale waliofanya usaili chuo kikuu cha Sayansi na Technology Mbeya kuanzia phrase ya kwanza hadi ya tano, wameanza kupiga kwa waliofaulu,kama vp usikae mbali na simu yako,

Karibuni Mbeya, usisahau sweta au koti unapokuja!
 
wadau kwa wale waliofanya usaili chuo kikuu cha sayansi na technology mbeya kuanzia phrase ya kwanza hadi ya tano,wameanza kupiga kwa waliofaulu,kama vp usikae mbali na simu yako,

Karibuni mbeya,usisahau sweta au koti unapokuja
We ulikuwa phase ya ngapi na umeshapigiwa?
 
Back
Top Bottom