Kuitwa kazin TRA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuitwa kazin TRA

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kiwembe1983, Apr 22, 2012.

 1. k

  kiwembe1983 Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  habari zenu wadau..
  kuna yeyote mwenye taarifa kuhusu ile Oral interview ya TRA iliyofanyika pale msimbaz centre 28/03/2012 ya nafas za customs officers(40)?Je watu wameshaitwa kazini?naomba mwenye taarifa ya uhakika atujuze kinachoendelea.
  Aksanteni.
   
 2. T

  Tafakuru Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Mkuu nimekujibu tu kwa kuwa naona ni watu wengi wameisoma huu uzi bila kutilia mchango wao. Kwa kweli sina taarifa yeyote, ila kwa idadi kubwa ya watu walioifungua hii thread bila kuandika chochote, nahis hakuna ambae atakua na taarifa.
  tuendelee kuwasubiry na kupeana taarifa vile vile
   
 3. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  why dont you think outside the box.tumeshaitwa kazini umebaki wewe mjinga mjinga
   
 4. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Yah mkuu tayari watu wameshapiga na Training ikiwa ni pamoja kupangiwa vituo vya kazi, Me kuna Binadamu wawili nawafahamu tayari wapo kwenye mchakato
   
 5. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kipilipi usiwe unajibu hivi mkuu, Next time utakuja wewe na problem zako unaulizwa and will tel you go ask ask ur mom bitc.h
   
 6. c

  conversant Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  acha uongo
   
 7. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  my Kipipi, jamaa alikufanya nini? msamehe bure mtu wangu. Jifunze uvumilive.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280

  Ukweli ni upi conversant????
   
 9. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Kwa muujibu wa mtu aliyepo humo Mamlaka walioitwa kazini nafasi za customs hivi karibuni ni wale waliofanya usahili December 2011. Waliofanya usahili March 2012 bado hawajaitwa.
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  TRA wezi,TPA wezi,TICTS wezi,Mawaziri Wezi,DED wezi,RC wezi,DC wezi..ni nomaaaaaaaaaaaa.
   
 11. Young Tanzanian

  Young Tanzanian JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,740
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  sidhani kama wameitwa.
   
 12. Young Tanzanian

  Young Tanzanian JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,740
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kingkong unaongea too general be specfc karbu zote zna watu wasio waamnifu dunian
   
 13. c

  conversant Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  yawezakuwa ndo huo uliousema
   
 14. O

  Old Member (Retired) JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2015
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 3,449
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 0
  Tra ni noma ati
   
Loading...