Kuitwa interview Tanesco

Wadau Jana nilipokea simu ya tanesco mbeya kunijulisha kuitwa kwenye interview mbeya kada ya procurement and supply
Naimbeni ushauri kwa wale mliowahi kufanya interview zao
Mkuu ulizia vizuri tarehe ya usaili maana wengine tulitajiwa tarehe ya kuzaliwa faru John, tukafika Tanga tukakuta tarehe hiyo tuliyoambiwa na huyo dada aliyekuwa akipiga simu watu wanasiku mbili wanasubiri oral. Jitahidi upate taarifa za kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…