mundu mkongw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 202
- 88
Pitia tovuti yao,zielewe Sera na shughuri kuu za tanesco,uongozi wake,hata wizara inayolisimamia.Wadau Jana nilipokea simu ya tanesco mbeya kunijulisha kuitwa kwenye interview mbeya kada ya procurement and supply
Naimbeni ushauri kwa wale mliowahi kufanya interview zao
Shukrani kiongoziPitia tovuti yao,zielewe Sera na shughuri kuu za tanesco,uongozi wake,hata wizara inayolisimamia.
Vile vile jipange na maswali kuhusu fani yako
Hongera sana Mkuu!Komaaa utalamba shavuWadau Jana nilipokea simu ya tanesco mbeya kunijulisha kuitwa kwenye interview mbeya kada ya procurement and supply
Naimbeni ushauri kwa wale mliowahi kufanya interview zao
Asante mkuuHongera sana Mkuu!Komaaa utalamba shavu
Asante kiongozi ninachohofia ni mambo y kujuana halafu sina ndugu mbeya so nisije nikaingia cost kumbe jamaa wanamtu wao
Shukrani kiongozi hilo la kujuana ndio hasa nalifanjia utafiti maana dar hadi mbeya niparefu sanaCha muhimu jiamini tuliza kichwa na ukifika utumie akili yako vizuri. Pitia mambo ya muhimu na basics za procurement. Then jiandae kwa essay maswali ya uelewa tu.
Ukumbuke pia kusali na kumwomba Mungu, if you are confident and lucky enough you gonna win the battle.
N.B: Omba Mungu isiwe ni issue ya connection maana sometimes huwa watu wanaitwa ili ionekane utaratibu umefatwa.
Thanks.
Kama nauli unayo just go kama ni bahati yako utapata. Hata usipopata hiyo nafasi utakuwa umepata experience ya interviews za aina hiyo.Shukrani kiongozi hilo la kujuana ndio hasa nalifanjia utafiti maana dar hadi mbeya niparefu sana
Asante kiongozi ninachohofia ni mambo y kujuana halafu sina ndugu mbeya so nisije nikaingia cost kumbe jamaa wanamtu wao
Hapana tanesco wanajiri wenjeweHaipiti Utumishi?Kisanga flani hivi.
Kama nauli unayo just go kama ni bahati yako utapata. Hata usipopata hiyo nafasi utakuwa umepata experience ya interviews za aina hiyo.
Kusudi ikitokea tena ya aina hiyo ujue wapi pa kuanzia.
Mungu anashughulika na wale wanaojishughulisha.
Tarehe 22/7/2019 wanapiga simu hawaweki majina kwenye web yao kama wanavyofanya utumishiMkuu interview wamekwambia ni lini...vipi majina ya walioitwa kwenye hizo interview yako wapi??
Pepa zao wanakunja kwhy jitahidi usome hakn kitu chepesi.!Wadau Jana nilipokea simu ya tanesco mbeya kunijulisha kuitwa kwenye interview mbeya kada ya procurement and supply
Naimbeni ushauri kwa wale mliowahi kufanya interview zao
Yes! Tanesco ni taasis kubwa walitakiwa kutoa majina kwenye web yao kama utumishiHawa nao hata hawajiongezi kazi kupgia simu waombazi badala ya kuweka majina yote hadharani.
Pouwa ntakoomanaoPepa zao wanakunja kwhy jitahidi usome hakn kitu chepesi.!