Mkuu hawa jamaa post walizokuwa wamezitangaza zinategemea kupitishwa kwa proposal yao ya kufanya mradi mkubwa hapa nchini kutoka USAID na nadhani itakuwa imepitishwa kuanzia January,2013.Kuna nafasi za kuanzia chache ambazo walifanya interview kwa watu mfano kama mimi nilipigiwa simu ninaishi nje ya Dar so wakanifanyia telephone interview na wakaniambia wangenijulisha kama ninaendelea na awamu ya pili ya face to face interview au vipi.Hili ni juma la pili sasa wako kimya.Nadhani tuendelee kusubiri na tukipata update yoyote tutataarifiana.