Kuitoa CCM ni ndoto ya mwendawazimu

Kuitoa CCM ni ndoto ya mwendawazimu

Kama ulikuwa hujui subiri kuumbuka na ushabiki wako katika siasa za bongo.
Wale waislamu wa zanzibar walioko jera na kesi ya kubambikizwa wewe kama muislam wa ccm unaweza toa ufafanuzi kwa nini ccm zanzibar wamewaonea hao mashehe au wewe ni ccm fata upepo.

Swissme
 
kama mwana CDM nina mtihani mgumu kwenye kura ya urais, hata hivyo nimeamua kura yangu iende kwa Magufuli.
Jiulize kwanza, kwa nnii ulijiunga na cdm? Kama uliamini katika M4C, then umepotea maana change haiwezi kuja kwa kumchagua Magufuli. Huyu ni mtu alnayebebwa na system na system hiyo ndiyo tunataka kuibadili; hivyo kumpigia magufuli ni kuiimarisha hiyo system; then imani yako ya M4C will never come true (Haitaimia kamwe)
 
CCM ndo baba lao kama bado hawakubali basi wasubiri kidogo tu ndo kwanza kazi imeanza ..mabao ya mikono vururu vururu
 
Kwa upinzani gani wa kuitoa ccm? Wa huyu mbowe mpiga dili? Hata miaka 1000 ccm itatawala
 
Tutaendelea kutawala hadi tembo waishe siku mtakapopata akili hamad nchi iko tupu
 
CCM ndo baba lao kama bado hawakubali basi wasubiri kidogo tu ndo kwanza kazi imeanza ..mabao ya mikono vururu vururu

magufuli hana kituchochote kabebwa na kikwete ulishaona lini mkapa, mwinyi au nyerere anapigia mtu debe sasa ndo ya kikwete hayo. magufuli mwenyewe hajui kuongea, kwenye kampeni utaona ni krambasi
 
Kama ulikuwa hujui subiri kuumbuka na ushabiki wako katika siasa za bongo.

Jiandae kisaikolojia tu ndugu. Chama chako kushindwa ni ukweli mchungu kwako. Vumilia tu, huna jinsi.
 
Tukubali tusikubali uchaguzi mwaka huu ni mgumu lolote laweza tokea.
 
uchaguzi wa mwaka huu watu hawapigii chama bali ni mtu. kwahiyo suala c ccm wala chadema ni Lowassa vs Magufuli. hata vijijini wanajua wote wako ccm. hapo ndio shughuli
 
Mbona hata kwetu ccm wapo wasio wasafi tena wako wengi.Tuongee hoja nyingine sio ufisadi.Maana hata ccm mafisadi wamejaa tena wana pesa isiyo halali. Hoja yetu iwe ni maendeleo.
 
CCM wanatoka hata kitengo wanajua hilo.
Ila wanawapa matumaini msikate tamaa mapema.
 
Back
Top Bottom