Kuishi na mwanamke/mwanaume kinyumba bila na ndoa, hii style ya maisha inaitwaje?

Inaitwa shake before use.
Na ukienda kanisani watakuambia wanabariki ndoa.
 
Habari wanaJf wazima wote?

Ningependa kuuliza je kuishi na mwanamke/mwanaume kinyumba mkiwa hamjafunga ndoa ya kidini/kimila.

Je, hii inahesabika ni ndoa au style hii ya maisha na inaitwaje?

Kuuliza so ujinga

Asante


Mimi niliishi na GF wangu 3 years, tuka oana na sasa tuko wa ndoa 12 years na watoto wanne. Amani na furaha.
Kikubwa maelewano.
 
Hiyo inaitwa shake well b4 use yani anakua n uvumilivu sana ila cku ukifunga nae ndoa ndio utajua rangi zake.....mimi nimekopa mwaka w 3 sasa bado 4 ndio nifunge ndoa.
 
Come we stay! Shida ni ukiishi na mwanamke miezi 6 huko Kenya, ashakuwa wako kisheria!
 
Back
Top Bottom