Mlalahoi Mlalahai
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 399
- 146
Hello wadau, naomba kujua kama kuishi kwenye nyumba iliyochini au karibu na mnara wa simu kuna madhara mtu anaweza kupata? Na kama kuna madhara kwa nini serikali inaruhusu mitandao ya simu kujenga minara yao karibu au kwenye makazi ya watu? Msaada tafadhali