Kuisaidia nchi yetu

Kuisaidia nchi yetu

kidesheni

Senior Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
178
Reaction score
35
"Kama tunataka kuisaidia nchi yetu hatutazungumza majina ya watu sasa hivi. Tutazungumza masuala yanayokabili taifa letu kwanza"
(Hayati Mwalimu J.K.Nyerere)

"Nataka kanuni za uchaguzi na maadili ziheshimiwe ili kupata viongozi ambao hawatatokana na rushwa"
(Ndugu Philip Mangula, 2014)
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Kidumu chama tawala. Ahsante kwa kutukumbusha mkuu
 
Back
Top Bottom