Kabla ya kuhukumu uamuzi huo naomba kuelewehwa je kwenye masuala ya kaliba hiyo je Kenya husimama naTanzania ?Kiukweli mtu mwenye akili huwezi ichagua djibout ukaacha kenya ambao ni majirani tunaofanya nao biashara hii sio sawa kabudi atolewe kama kahusika
Tusimlaumu aliyepiga kura, hakuelewa Kiingereza alifikri kura zitakuwa za siri kwamba hatajulikana hata akimpigia Djibouti, sasa Kenya atajuaje? Ila ki ukweli tumeaibika mchana kweupe! Wazungu hawana siri!Kuna chuki za kushangaza sana kutoka hii Serikali yetu na baadhi ya Watanzania kwa Wakenya. Hawa tuko nao kwenye Jumuiya moja na pia ni majirani zetu wa karibu mno ukilinganisha na Djibouti. Hii kura ingekuwa no kuwaonyesha Kenya kwamba kushinda kwao ni kushinda kwa Watanzania na hivyo miaka ya usoni nao watuunge mkono. Kama kweli kura ya Tanzania ilienda kwa Djibouti huo ni UPUUZI wa hali ya juu.
Mwanangu mbona hao majamaa tuliokouwa nao kwenye kura ya pamona wote wanaonekana kuwa na mahatari.. Naiona North Korea hapo.. Russia,Vietnam, China hawa ni wajamaa woteView attachment 1484742hapo ndio tumefika kwa sasa
Chadema ni chama cha wakenya wakazi wa kilimanjaro usishangaeBavicha mmechanganyikiwa,
Mnaanzisha mada na kujijibu wenyewe.
Hiyo taarifa ni feki. Tanzania iliahidi kuiunga mkono Kenya na iliipigia kura. Achaneni na hizi siasa za mitandaoniI don't like the way Kenyans perceive us but this wasn't necessary at all.