Kuingia kwa machine za kufanyia mapenzi

Labda kwa wale we ye distance relation na hawataki kucheat
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa jamani leo tokea asubuhi nmekua mchekaji tu jf kuna watu cjui wamevuta ndumuuu

sio kwamba wamevuta ila utambue hapa dunian kila binadamu ni kichaa, ila sasa vichaa vmetofautiana na huwa vina mda wake wa kupanda na kutulia,. Kichaa cha mtu flan kinapotulia ndio unaona anakuwa mpole na mtulivu ila kinapolipuka ndio utaanza kushangaa hata flan anafanya hivi?!
Kama ww juzi kwenye thread ya jamaaa flan nikagundua hapa tayar
 
Ukiona halina ukweli, si unalipotezea tu? kwani kuna ulazima wa kulijadili.....!? Au lazima kila linalowekwa hapa tucomment!

Sasa naona wanishangaza...

Mwanzoni msimamo wako ulikuwa kwamba mjadala unaweza kufanyika hata kwa jambo lisilo na ukweli...

Lakini sasa hivi unabadilika tena na kudai jambo lisilo na ukweli unalipotezea, kwa mantiki hiyo halihitaji mjadala...

Unaona unavyojichanganya sasa???
 

Soma na kutafakari nilichoandika ndo utaelewa nina maana gani.
 

Ukiona ivyo nmechokozwa hata ww waeza nichokoza uone moto wakeeee......
 
Ngoja tusubiri nafikiri team bazazi watakuwa na majibu mazuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…