Kuingia kwa machine za kufanyia mapenzi

Ama hakika NYANI HAONI KUNDULE. Huo UTUMBO ulioandika ulitarajia upate majibu gani!!!?? Wewe KIAZI kwelikweli.

Macho yko yana tongotongo kila kitu waona utumbo,kanawe kwanza!.
 
Wewe utanunua hizo machine ?!!!jibu lako kwa nini?
 
dah habari haijitoshelezi kwanza taja majina ya kampuni tu google tuone ukweli wake
 
umeniacha kidogo:
1.hizo kampuni ni za tanzania?
2.kwann waombe ruhusa kama ni biashara halali?
3.unahitaji mawazo kwamba ujue idadi ya wateja humu MMU?
4.umejuaje kama yana maumbile tofauti wakat unasema bado hazijaingizwa wewe umeonea wapi hayo maumbile na hiyo milio pamoja na joto lake?

jibu kwanza haya!!!!!
 
Do, hii jamii ya hapa mi huwa hata siilewielwi, kwana mleta mada kafanya kosa gani hadi ashambuliwe kiasi hicho? Yeye alichoomba ni mitizamo ya kila mwana jamii atakaejisilia kuchangia. Sasa hayo mengine yametoka wapi? Iwe kweli au si kweli bado kila mtu anahaki ya kutoa kile anachofikiri kuwa kinafaa kupatiwa uchanganuzi hapa jukwaani. Najumbuka issue kama hii iliwahi kuletwa na mtu mmoja hapa jamvini na ikajadiliwa vizuri kabisa. Najaribu kukiuliza, dhambi ya huyu mwenzetu iko wapi? Au tuna madaraja hapa ndani, kwamba wengine wanaweza kutoa mawazo yao na yakajadiliwa na wengine hawaruhusiwi!? Hebu tuweni wastaarabu.
 
Huyu anataka kuanzisha biashara hiyo, yupo kwenye survey. Mpeni ushirikiano jama.
 

Unawezaje kujadili jambo ambalo halina ukweli?
 

shankal like this.............
 
Sex Machine zipo na watu wanazitumia ila sema mtu hawezi jijulisha kuhusu hilo kwani ni upumbav huo na haina tofauti na punyeto kwani ni sawa na kulala na maiti na wengi huko zilikoanzia wameshakuwa machizi ; binadamu siyo mashine hatumii umeme na siku likipiga shoti na aliyekuwa anafanya game juu yake atakutwa amebanikwa!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…