Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,192
- 929
Hellow,kuna taharifa nimezipa kua kuna kampuni kadhaa zimeomba kuingiza vifaa mbalimbali za kuliwaza kuchukua nafasi ya wenza kwa wasiokua nao.
makampuni ni ya Japan na France vifaa ivyo ni matoleo mapya kabisa na Africa viko south Africa tu.
Sasa nataka mawazo yko je kampuni hizi zipewe kibali cha kuuza vitu ivo au wasipewe, utoe na sababu kutokana na jibu lako.
Hizo taarifa umezipata toka kwa nani na kwa nini maswali yako usingeuliza toka kwa aliyekupa taarifa?
Hizo kampuni ni zipi na zimeomba kibali toka kwa nani?
Majina ya hayo makampuni tafadhali?
Jibu kwanza maswali hapo juu, sio kutuletea mada za vijiweni hapa
Akiamka aje na majibu,habari kama imla.
wdeka picha tujue kama kweli vipo.
Hizo taarifa umezipata toka kwa nani na kwa nini maswali yako usingeuliza toka kwa aliyekupa taarifa?
Hizo kampuni ni zipi na zimeomba kibali toka kwa nani?
Majina ya hayo makampuni tafadhali?
Jibu kwanza maswali hapo juu, sio kutuletea mada za vijiweni hapa
We ubongo wako unamatundu kama chujio unajua maana ya tetesi?
Wapi hapo katika taarifa yako ya awali ulipotumia neno tetesi?
Huyu mtu pori kavamia msitu wa jeshi, na adhabu yake ni kumchamba kwa risasi
Huyu mtu pori kavamia msitu wa jeshi, na adhabu yake ni kumchamba kwa risasi
Hellow,kuna taharifa nimezipa kua kuna kampuni kadhaa zimeomba kuingiza vifaa mbalimbali za kuliwaza kuchukua nafasi ya wenza kwa wasiokua nao.
Machine izo ni kubwa zenye shepu mbalimbali za kike na zakiume yaan tofauti ni ndogo sana na maumbile ya me au ke.kwenye machine izo unaweza kuweka joto unalolihitaji,milio yoyote unayoitaka mtumiaji.makampuni ni ya Japan na France vifaa ivyo ni matoleo mapya kabisa na Africa viko south Africa tu.
Sasa nataka mawazo yko je kampuni hizi zipewe kibali cha kuuza vitu ivo au wasipewe, utoe na sababu kutokana na jibu lako.
Hahahaaa tumetumia lugha ya kigeni (new alert)
JF haina kitu kinachoitwa "new alert" bali kuna "News Alert"...
Zaidi ya hilo 'news alert' si tetesi bali ni taarifa iliyohakikiwa itolewayo kwa hadhira...
Kama ingelikuwa ni tetesi JF bado inakupa nafasi ya kutumia neno tetesi kama ulivyotumia 'news alert'...
Jibu swali kama ulivyo ulizwa, baba ako akikuuliza umekula?jibu nimekula au sijakula.sasa kwa akili zako na wewe utauliza amepika nan?
Kwa iyo unaenda police kuomba kibali cha kuandamana au?
Unamaswali mingi kwani we ni police?Mfa maji haachi kutapatapa...