Kufuatia mtirikio wa siasa za Tanzania na uwepo wa Lowassa Lowassa ili ashinde uchaguzi lazima aseme ili kukomesha ufisadi Katiba ya Warioba ataiweka mezani ikiwa na wajimbe walio sawa wa vyama vya siasa na wajumbe wa taasisi walio jichaguwa wenyewe na wanasheria wa kujitengemea walio sawa na wanasheria waserekali .
Kufanya hivyo ndo kutamuingiza Lowassa ikulu ila kwa kunadi kuondowa umasikini, kunadi elimu bure atapigwa bao na Magufuli.
Lowassa ili ushinde ajenda ni moja ili kukomesha ufisadi na rushwa lazima katiba ya Warioba irudi ukitamka neno hili moja tu shuka jukwaani umemaliza kazi.