Mbunge wa Jimbo la Nzega na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akabidhi pikipiki 19 kwa Kata zote 19 za jimbo la Nzega Vijijini. Hizi ni jitihada za Mbunge huyo katika kuimarisha Chama ngazi ya kata kwenye jimbo hilo.
Dkt. Kigwangalla amefanya hivyo mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa jimbo ambapo Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Abdulrahman Kinana akiwa mgeni rasmi kwenye mkutano huo.
View attachment 650979
View attachment 650981