ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,141 Reaction score 951 Jul 4, 2011 #1 Wakuu, nimepoteza handset yangu ya Blackberry, ipo namna yoyote ya kuitambua au kuifunga kabisa ili jamaa aliyeipata asiwe na manufaa nayo?. Providers wangu wanasema wao wananaweza kufunga sim card tu na sio handset.
Wakuu, nimepoteza handset yangu ya Blackberry, ipo namna yoyote ya kuitambua au kuifunga kabisa ili jamaa aliyeipata asiwe na manufaa nayo?. Providers wangu wanasema wao wananaweza kufunga sim card tu na sio handset.