🤣🤣🤣🤣🤣Leo hebu leteni uzoefu na uelewa juu ya hii kitu kuifinyia kwa ndani. Coz unaweza kuwa unaishi afu Kuna vitu vizuri hujawahi fanyiwa ila unaombwa hela TU
Haisee tunawasubiri Kwa hamu watupe uzoefuBantu Lady To yeye njooni mjibu hili swali ni mhimu sana....[emoji125][emoji125]
Bado kabisa afu naona kama Kuna kitu sikijui kwenye huu ulimwenguKwahiyo hujawahi kufinyiwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio mkuuNgoja waja walete maujuzi yao
Exy mwambie mwenzako, akifinyiwa kwa ufasaha lazima alie...Bantu Lady To yeye njooni mjibu hili swali ni mhimu sana....🏃🏃
😀Pesa unayo unaweza ukawa unafinyiwa ila stress za madeni usihisi chochote
Pole saaaaanaBado kabisa afu naona kama Kuna kitu sikijui kwenye huu ulimwengu