PERECY
Member
- Jan 11, 2012
- 29
- 16
WanaJF,
Tarehe 3 Januari 2009 niliandika katika Diary yangu kuhusu woga nikiwanukuu watu mashuhuri, na hapo ndipo ninapotaka kusema kwa dhati kwamba wapambanaji wote woga/hofu iwe mwiko. Hatima ya nchi yetu haihitaji mzaha, vijembe, watu wanatakiwa kuleta mabadiliko kwa ustawi wa maendelao yao:-
Mwingine ni:
Watanzania, TUTAFAKARI!

- Aung San Suu Kyi: Mshindo wa Nobel na mtetezi wa haki za binadamu - Burma (Myanmar): " WOGA SI TABIA ASILIA YA WATU WASTAARABU".
- Dorothy Thompson - Mwandishi wa Kimarekani, Mpinzani wa Ufashisti wa Adolf Hitler - 1930: "UHAI WA BINADAMU HUANZA KUCHIPUA PALE TU ANAPOUSHINDA WOGA".
- "Hakuna kitu kinachoharibu akili yetu kama woga, kwamba silaha ya watu woga ni mabavu na ubabe, kwamba penye ukweli hakuna woga."
- Kwamba wanaoendekeza woga ni wale tu ambao hukataa ukweli na hawafanyi uchambuzi wa kina kuhusu chimbuko la matatizo na matukio yanayowasumbua; na,
- Kwamba woga huongezeka tunapokuwa gizani, na njia pekee ya KUUFUKUZA NI KUWASHA TAA!"
Mwingine ni:
- Waswidi: "Hofu hufanya jambo doogo kuba na kivuli kikubwa.
- William Allen White, Mwandishi mashuhuri na jasiri - Mmarekani: " Siogopi yatakayotokea kesho kwa sababu nimeyaona ya jana, na ninaipenda leo".
Watanzania, TUTAFAKARI!