kuhusu windows phone..!

kabon14

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
1,233
Reaction score
871
Habari wakuu....

Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikitumia sizi simu japo nimewah tumia android pia

Nimekuwa addicted Na hizi windows phone, maana Ni simu ambazo sipo smart kuliko kawaida( wanaozitumia wanajua ).. Lakin suala linaloniumiza kichwa Ni kwamba hii system haina application nyingi kulinganisha Na android Kuna apps nying Sana za kuvutia lakin hazipo kwny store ya hizi simu mf. Jamii forums Na nyinginezo, huwa najiuliza Sana kwann hawa Microsoft wanakosa baadhi ya apps kwny store zao(anayefahamu anijuze,hii inakuwaje)

Wakati mwngne huwa nakosa raha nnapo ingia store Ili kuinstall app halafu nkaikosa,naumia lakin nakosa cha kufanya ...
Lakin all in all sijawah fikiria kutumia sim yenye system tofauti maana windows phone zina software amaizing Sana,.. Zina respond haraka,mwonekano wake pia unanivutia sana, kuhusu Microsoft account yangu Kuna mengi ya kunivutia pia..
 
Dah hata mm ni mwathirika Wa hilo jambo ninayo yangu mwaka sasa! Tatizo ni kuwa android os ni free so kila MTU anaweza weka app yake ndio maana utakuta kwenye play store Mara BASHITe WeNU na app nyingine but windows app uki upload app lazima utambulike na Microsoft company na waifanyie proof wajiridhishe ndio maana app zao na systems kwa ujumla ziko fasta na zauhakika
 
Nakushauri utumie hizi simu za kulipia hutojutia kabisa tena utajilaumu kwanini ulichelewa.

Nikisema za kulipia najua utajua ni zipi! Mie sitaki sifa
 
Mk
Nakushauri utumie hizi simu za kulipia hutojutia kabisa tena utajilaumu kwanini ulichelewa.

Nikisema za kulipia najua utajua ni zipi! Mie sitaki
Mkuu hebu taja apps muhimu ambazo wewe unazo plz
 

Kwa anayejua mie naomba msaada wa kuinstall swiftkey keyboard na mobdro kwenye Microsoft 640 xl
 
Nakushauri utumie hizi simu za kulipia hutojutia kabisa tena utajilaumu kwanini ulichelewa.

Nikisema za kulipia najua utajua ni zipi! Mie sitaki sifa
Teh tehe..!
 
Kwa anayejua mie naomba msaada wa kuinstall swiftkey keyboard na mobdro kwenye Microsoft 640 xl
Hizo sahau mkuu windows phone huwezi install app kutoka open source lazm itoke store so hamia tu kwenye android tena anza na hizi nokia 3,4 au 6 hutajuta
 
Reactions: AMB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…