Wana vyuo mlijiandikisha wakati vyuo havijafungwa, selekali inasisitiza vifunguliwe baada ya uchaguzi, inamaana hamtapiga kura kwani tume imesema kuwa kilamtu apigie kura alipo jiandikishia. Vinginevyo itakubidi usafiri ukapige kura ulipo jiandikishia, wanafunzi wangapi watakao weza kusafiri kwa ajili ya kupiga kura?.
Pendekezo langu; kwakuwa sioni kwa namna yoyote jinsi tume ya uchaguzi inavyo weza kuathiriwa na wanafunzi kuwa vyuoni, hivyo sioni sababu ya vyuo kuchekewa kufungukiwa ili kupisha uchaguzi!, sana sana naona selekali ikiwahujumu wanafunzi hasa kwa kutambua kwamba vengi wao hawaungi mkono chama tawala. Wito wangu kwenu ninyi wanafunzi hakikisheni mnawashawishi watuwengi iwezekanavyo huko mlipo ili wachague viongozi wa upande mnao uhitaji, kwa vyama vya upinzani pazeni sauti selekali ufungue vyuo kabla ya tarehe ya uchaguzi hili lita wanufaisha zaidi.