Kuhusu walimu waliodahili diploma in primary school

Kuhusu walimu waliodahili diploma in primary school

Joined
Sep 1, 2016
Posts
27
Reaction score
4
Iv jaman tusaidiane kama kuna walimu walio dahili diploma je wameshapata muafaka wa vyuo hivyo na wsnaenda lini kuriport mm cielewi nimechaguliwa ad nakata tamaa maana hata chuo wanakwambia hawajui siku ya kufungua hii secta imekuwa magumash sana profeesion haieleweki sasa iv division three jaman nishaurini ualimu na phamace kipi kinalipa hapo
 
Duh! Kwa uandishi huu...... Huo ualimu itakuwa taabu.
 
Usifatilie tena ualimu haukufahi mkuu!!
 
hahahaha naona watu mnatuongezea machungu daa'! yan mtu anauliza kwa wema nyie mnaanza kuhukumu daa maisha haya taabu sana mwee
 
kwa uandishi huo unataka , ukamfundishe nani ?
 
hahahaha naona watu mnatuongezea machungu daa'! yan mtu anauliza kwa wema nyie mnaanza kuhukumu daa maisha haya taabu sana mwee
Tatzo ni jinsi alivyoandika thread take Maelezo yanajichanganya cjui alikuwa ana stress wkt anaandka
 
Diploma in primary imefutwa mkuu kuna satficate diploma wanachukua walimu waliopo kazini
 
Back
Top Bottom