Kuhusu vyuo 2015/2016


Hao wenye negative wasubr kdgo ztabadilika
Kuna jamaa ang hapa profl yake ilikua na hzo negative, lakn Saiv kashaambiwa ame chaguliwa
 
Nimefanya ka utafiti kdgo
Nmegundua kuwa weng waliochaguliwa hii 2nd round Walijaza education
 
Ni kweki waliojaza education ndio ambao wameshapata, vyuo ila wale wa coz za afya bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…