Zina Maana Gani Hizo AlAMA.. zingine remaining Capacity 0, Nyingine -2, Nyingine -6, Yaani Nashindwa kuelewaa wakuu.. ndo nimekosa chuo au?
Naomba Msaada Mtu Wa Kunielezea Nahisi Kuchanganyikiwa
Mwenye kukijua vizuri chuo cha mifugo mabuki kilichoko mwanza naomba msaada wa maelekezo. Nicheck kwa no. 0765 82 92 56.
Ukinicheck sasa hivi utakuwa umenisaidia please