Kuhusu viwanja Mwasonga Kigamboni 2500/= Kwa Sqm

Jojo123

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
437
Reaction score
715
Habari ndugu wana jamii..
Kuna viwanja vinatangazwa sana Huko kigambini Mwasonga.. Kama unaelekea Dar Zoo

Bei wanasema ni 2500/ = kwa sqm..
Yaan 20*30 ambayo ni 600sqm wanauza kwa 1.5milion

Sasa naombeni wanojua vizuri hayo maeneo watuambie maana niemeenda jana niviona ila sijui ramani ya jiji inasemaje hasa Manispaa ya Kigambon.. Nimetembelea halmashari ya kigambon jana kuulizia naona hawatoi ushirikiano naomba anayejua vizuri hayo Maeneo atwambie tusije ingia chaka maana kigambon kuna miradi mikubwa ya serikali ila hatujui mipango miji imekaaje.
 
Umefanya vizuri mkuu.
 
Hivyo viwanja ni "Surveyed" au ni Mtu kakata tu shamba lake?
Hao waliokuambia kuhusu uwepo wa Viwanja hivyo hawajakuonyesha ramani ya hapo??
Kama ni Surveyed means Mipango miji wameridhia kuwepo kwa hivyo viwanja.
 
Nenda kwa wenyeviti wa serikali za mitaa hope ramani za mipango miji katika maeneo yao wanazo
 
Habari ndugu wana jamii..
Kuna viwanja vinatangazwa sana Huko kigambini Mwasonga.. Kama unaelekea Dar Zoo

Bei wanasema ni 2500/ = kwa sqm..
Yaan 20*30 ambayo ni 600sqm wanauza kwa 1.5milion

Sasa naombeni wanojua vizuri hayo maeneo watuambie maana niemeenda jana niviona ila sijui ramani ya jiji inasemaje hasa Manispaa ya Kigambon.. Nimetembelea halmashari ya kigambon jana kuulizia naona hawatoi ushirikiano naomba anayejua vizuri hayo Maeneo atwambie tusije ingia chaka maana kigambon kuna miradi mikubwa ya serikali ila hatujui mipango miji imekaaje.
Sorry Kuna umbali gani ukitokea kigamboni feri?
 
Angalia mkuu usije kupigwa mchanga wa macho . huku hamna kiwanja cha bei rahisi hivyo. Vilikuwepo vya 6000/= kwa sqm ila watu washabeba. sasa hivi bei ni elfu 10 hadi kumitano. na usikubali kuuziwa sehemu haina mipango miji yake na kuonyeshwa. Kama unataka viwanja Njoo ndugu tukuuzie ila bei sio 2500 kwa sqm . ni viwanja venye mipango miji na kila kitu. bei ni 10,000/ kwa sqm. viwanja vipo kuanzia sqm 600 mpaka 1200. karibu kama utahitaji serious.
 
Yaan ni kongowe vile ata sijakuelewa aisee
 
Kujenga nyumba huko nisawa na kuishi nje ya nchi,haiwezekani utoke kwako unaenda kazini kama unafanyakazi posta lazima ulipie border pale darajani sasa kamasiyo nchi Jirani ninini?
 
Hahahahaha
 
Ni kweli mbaki ila DSM hainaga mbali.miaka ya 90 mbagala palionekana mbali,miaka ya 2000 chanika palionekana mbali lakini leo ni karibu tu.sio 25 ni km 30.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom