Physics ni Chand tu kwa Bongo afu ni zile example Yani Yale maswali yaliyojibiwa na Chand ndo yanayotoka so akomae nayo.
Biology ni BS na chemistry atumie TIE Yuko vizuri sana kwa SoMo la chemistry
Note: Kwa sasa Baraza linatoa msisitizo kwa wanafunzi kusoma na kutumia vitabu vya TIE kuliko haya mavitini kwa sababu za mabadiko ya kimtaala.
VIJANA SOMENI MUELEWE MSIKARIRI MTAUMIA PCB NI NGOMA NZITO LAKINI AS TIME GOES EVERYTHING WILL BE ALRIGHT