Wakuu naombeni mnisaidie
Ninapofanya German Visa appointment...kuna option inasema secure your appointment alafu imendikwa 92,000 so naomben kujua je hyo ni mandayory kwa kila mtu au mi ndo nmechemka
Na natakiwa juilipa hiyo pamoja na visa fee???
92,000 haijawa specific kwamba ni hela au ni idadi ya watu au ni kitu gani... Fanya kuwasiliana nao waulize iko ni nini, kama unawaogopa tuma Screenshot tukusaidie kupembua.
Nilkuwa na short programe boss just miez mitatu
Nilkuwa sjui linaitwa jimbo... Neundertalsau na baadae nilikaa kwnye jiji linaitwa Nürnberg
Nilisharejea boss