Kauzu Kinyama
Member
- Aug 13, 2011
- 41
- 5
Kwa upole na busara tu jamani naomba tuelezane ni wapi kumekuwa na fair play katika mchakato wa kupata wagombea wa uraisi kati ya CCM na CHADEMA.
Kati ya Slaa na Lowassa nani kakatwa kwa kudharauliwa?
Kati ya Slaa na Lowassa nani kakatwa kwa kudharauliwa?